KING-STAR BLOG

THE LEADING..

PAGES

▼

Sunday, September 28, 2014

ISOME POSTI YA DIAMOND PLATNUMZ ILIYOWAFURAHISHA SANA MASHABIKI WA COUPLE YAKE NA WEMA.

Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki,  shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person...But to me, you are the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....i may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling....mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon....Love you mama

Kingstar at 7:54 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Kingstar
View my complete profile
Powered by Blogger.