Friday, March 21, 2014
RAISI JAKAYA KIKWETE KULIHUTUBIA BUNGE MUDA HUU.
Picha hapo juu inamuonesha mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania akiwa safarini kutoka Dar es salaam kuelekea Dodoma kwa ajili ya kulihutubia bunge.Hapo anaipitia hotuba yake ambayo ndio inatolewa muda huu,
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge maalumu la katiba kwa mujibu wa kanuni 7(1)g na kanuni 75(1) ya kanuni za bunge maalumu.
Picha na Ikulu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment