Thursday, April 10, 2014

MIAKA 2 YA KIFO CHA KANUMBA: WASANII WENZAKE JINSI WALIVYOMKUMBUKA.


Marehemu Steven Kanumba.
Flora Mvungi.
Florah Mvungi
It has been 2 years since ututoke ndugu yetu,Mungu akupunguzie adhabu,tunakuombea na tunakukumbuka sana kwa mchango wako mkubwa kwenye tasnia ya filamu Tanzania,tunaadhimisha KANUMBA DAY leo tar 7 mwezi wa 4 kwa pamoja tutaenda kanisani temboni saa tatu asubuhi kisha makaburini na baadae dar live,karibuni sana tujumuike pamoja.
Aunt Ezekiel
RIP sijui nikuite nani maana naona nafasi yako kwangu ilikuwa zaidi ya ulivyofikiria ama tulivyochukuliana na now ndio naona ni pengo la kiasi gani niko nalo katika maisha yangu kwani naamini maisha ni kuishi kufanya kazi na kutengeneza family yenye mafanikio ndani yake ila bila kuwa na kazi nzuri kujituma basi kuwa na family bora yenye mafanikio ni ngumu sana sasa wewe ulikuwa ni kiungo kikubwa sana sana katika kazi yangu hakuna atakaelewa ila haya ninayosema isipokuwa mimi mwenyewe hilo pengo naelewa ni kiasi gani nimeathirika katika kazi bila uwepo wako, Mungu alitupa wewe na yeye ndio amekuchukua tulikupenda ila yeye amekupenda zaidi jina lake libarikiwe ulale mahali pema peponi ‘, Mic u so much….
Msanii mkongwe katika tasnia ya filamu na tamthilia hapa nchini anayefahamika kwa jina swebe.
Swebbe Santana
R.I.R rafiki yangu mpendwa.. miaka2 sasa.. hauko tena nasi na haitotokea… umekua mtaji kwa walio hai… badala ya kuombewa dua watu wanashereheka kwa mabendi kuyaalika huku viingilio vikitawala… ama kwa hakika ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni…. huko uliko salamu zangu nazituma… kwa sasa filamu zinauzwa kwa majina na sura na si uwezo… yote kwa yote soko la filamu limekufa bongo…. zangu dua zitakufikia na mungu mwenye sifa ya kusamehe akusamehe.. na wanaofanya dhihaka juu ya hili nao awasamehe…. hakika.. kwa mungu sote tutarejea…. nina mengi.. lakini kwa haya machache wacha tuu nijifute chozi na dua kukuombea…. r.i.p rafiki yangu mpendwa steven charles kanumba..
Wema Sepetu ' Madam'.
Wema Sepetu
Rest in peace Kanumba.. & prayng for Rwanda.
Cassie Kabwita
Kanumba The years we’ve shared have been full of joy,
The memories we’ve made will go on and on,
I haven’t stopped crying since you went away,
and I’ve asked God time and time why couldn’t you stay.
You lit up my life, my hopes, and my dreams.
You’ve opened my eyes to see what it all means.
So now that you’re gone how can I forget;
Because you were the greatest out of all film makers I have met.RIP

No comments:

Post a Comment