Saturday, November 22, 2014
NI KWELI WEMA NA DIAMOND WAMEACHANA? SOMA HAPA:
Wakati akiachia ngoma yake mpya
‘Ntampata Wapi’, Diamond Platnumz
ameendelea kuteka vichwa vya habari
kuhusiana na tetesi kuwa wameachana
tena na mpenzi wake, Wema Sepetu.
Akiongea kwenye kipindi cha Leo
Tena cha Clouds FM leo, Diamond
alionekana kutokuwa tayari kuzungumza
ukweli wa jambo hilo licha ya
watangazaji wa kipindi hicho
kumbana.
“Kuna vitu fulani vinapokuja kuhusu
mapenzi sometimes inakuwa sio vizuri
kuvi.. kuna vingine vinafaa kwenda
kwenye media, vingine vinakuwa
havifai,” amesema.
“Kuna kitu unaniuliza nashindwa
kukiongea straight kwasababu
hakijafika wakati wa kwenda kwenye
media so kuzungumza inaweza
ikatengeneza maana mbaya. Vitu vingi
sana vinaandikwa, navisoma lakini
mimi na yeye ndio tunaujua ukweli uko
wapi. Ikifika muda wa kuweka wazi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment