.
Umoja wa katiba ya wananchi -
UKAWA- umesema hautahudhuria
sherehe ya kukabidhiwa katiba
pendekezwa kwa rais wa jamhuri ya
muungano wa Tanzania pamoja na
rais wa Zanzibar licha ya kupata
mwaliko kutokana na
kuchakachuliwa kwa maoni ya
wananchi yaliyowasilishwa na tume
ya katiba iliyokuwa chini ya jaji
mstaafu Joseph Warioba.
-itv tz-
No comments:
Post a Comment