Sunday, January 18, 2015
LYRICS/VERSE ZA WIMBO MPYA WA DIAMOND HIZI HAPA!.
Hizi hapa verse za wimbo mpya wa diamond platnumz - nasema nawe!
Verse 1
Hallooooooo!!!!!!
Mmmhh!! Aah, Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchokaaa...
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usokaa
Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa
Kwa kuwa umemuona Fulani ona usoo ulivyokukobokaaa
Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoroo
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoroo
Uso mchana jioni si wajuz si 2moro
Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoroo
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoroo
Uso mchana jioni si wajuz si aaaah!!!
Verse 1
Hallooooooo!!!!!!
Mmmhh!! Aah, Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchokaaa...
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usokaa
Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa
Kwa kuwa umemuona Fulani ona usoo ulivyokukobokaaa
Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoroo
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoroo
Uso mchana jioni si wajuz si 2moro
Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoroo
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoroo
Uso mchana jioni si wajuz si aaaah!!!
Chorus
Nasema naweee x3
Uso haya nasema naweee
Umezoea (nasema naweee)
Chezea chezea (nasema nawee)
Aaah!! Umezidi (nasema naweee)
Zidi (nasema naweeee)
zidi (nasema naweee)
Verse 2
Mmmmmhhh, mmmh
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaaa
Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataaa
Usio hiana fedhuri uongo umekujaaa
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa
Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokali la nguvu makarata
Lile hodari maguvu si kwasakwasa
Ooohh!!! Mwanzako mim turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa
Chorus
Nasema naweee x3 (nawew nawe oohhhhhh)
Uso haya nasema naweee
Nasema naweee x 3(nawew oohhhhhh)
Nimechoka nasema nawee
Umezoea (nasema naweee)
Chezea chezea (nasema nawee)
Aaah!! Umezidi (nasema naweee)
Zidi (nasema naweeee)
Uso haya nasema naweee
Oooohhh!!! (nasema naweee)
Nasema nawee x 3 (nawew oohhhhhh)
Nimechoka nasema nawee….
Nasema naweee x3
Uso haya nasema naweee
Umezoea (nasema naweee)
Chezea chezea (nasema nawee)
Aaah!! Umezidi (nasema naweee)
Zidi (nasema naweeee)
zidi (nasema naweee)
Verse 2
Mmmmmhhh, mmmh
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaaa
Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataaa
Usio hiana fedhuri uongo umekujaaa
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa
Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokali la nguvu makarata
Lile hodari maguvu si kwasakwasa
Ooohh!!! Mwanzako mim turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa
Chorus
Nasema naweee x3 (nawew nawe oohhhhhh)
Uso haya nasema naweee
Nasema naweee x 3(nawew oohhhhhh)
Nimechoka nasema nawee
Umezoea (nasema naweee)
Chezea chezea (nasema nawee)
Aaah!! Umezidi (nasema naweee)
Zidi (nasema naweeee)
Uso haya nasema naweee
Oooohhh!!! (nasema naweee)
Nasema nawee x 3 (nawew oohhhhhh)
Nimechoka nasema nawee….
Saturday, January 17, 2015
Monday, December 29, 2014
HALI HALISI YA DAR KWA LEO! NI SHIDA! JIONEE HAPA!
Mvua kubwa zilizonyesha dar es salaam siku hii ya leo zimeleta shida kubwa katika sehemu tofauti kama vile kwenye mambo ya usafiri barabarani na shida kwenye kufanya manunuzi leo hii.
Hali halisi ilikuwa kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu!
Monday, December 15, 2014
HII HAPA HATIMA YA YULE YAYA MTESAJI UGANDA.
Yaya wa Uganda aliyejipata pabaya
kwa kumchapa mtoto wa mwajiri
wake, amehukumiwa jela miaka minne
kwa kosa la kumtesa mtoto.
Kisa cha yaya huyu kilizua hasira
miongoni mwa watu wengi katika
mitandano ya kijamii pale kanda ya
video iliibuka mitandaoni
ikimwonyesha yaya huyo akimchapa na
kumkanyaga mtoto mwenye mwaka
mmoja unusu.
Jolly Tumuhirwe, mwenye umri wa
miaka 22, alinaswa kwa kamera ya siri
akionekana akimchapa na kumkanyaga
mtoto huyo pamoja na kumzaba kofi.
Mnamo siku ya Ijumaa, Jolly alikiri
kumshambuilia mtoto akisema alikuwa
analipiza kisasi kwani mamake mtoto
huyo naye alikuwa amezoea
kumchapa.
Hata hivyo mama huyo alikanusha
madai ya Jolly ambaye polisi
walikuwa wamesema wangemshitaki
kwa kosa la jaribio la mauaji ila
kiongozi wa mashitaka akasisitiza
kuwa ingekuwa vigumu kuthibitisha
hilo.
Hakimu mkuu Lillian Buchan aliambia
Tumuhirwe kwamba alitenda uhalifu
ambao hauna hata kisingizio.
Alisema adhabu aliyompa inamtosha
kulingana na makosa yake kwa
kumtesa mtoto ambaye hana hatia.
Babake mtoto huyo, Eric Kamanzi
alisema aliweka kamera ya siri
nyumbani kwake baada ya kuwa na
shauku kumhusu mfanyakazi huyo.
Kanda ya video iliyomuonyesha Jolly
akimtendea unyama mtoto, ilitoka
kwenye kamera ambayo Bwana
Kimanzi aliweka nyumbani kwake
baada ya kushuku kuwa mtoto wake
alikuwa anatendewa unyama na pia
baada ya kumpata mtoto wake akiwa
na alama za majeruhi mwilini mwake.
Alimshitaki mwanamke huyo kwa
polisi na kisha kuisambaza kanda hio
kwenye mitandao ya kijamii.
Baada ya hukumu kutolewa,Kamanzi
alisema: "sio juu yetu kuamua adhabu
anayofaa kupewa Jolly. ''
"tunatumai kuwa hili ni funzo kwa
wafanyakazi wengi wa nyumbani
kwamba huwezi tu kwenda kwa
nyumba ya mtu na kumtesa mtoto na
kutarajia kuondoka tu kama
ulivyoingia. ''
Thursday, December 11, 2014
PROJECT MPYA YA WEMA! NI HATARI. TAZAMA BAADHI YA PICHA HAPA.
Wema sepetu pamoja na Van Vicker katika picha.
Mwanadada wema sepetu hivi karibuni ameingia nchini Ghana kwa ajili ya kwenda kufanya kazi na msanii mkubwa sana afrika Van Vicker. Project hiyo inaonekana kwamba itakuwa nzuri sana hasa ukizingatia kwamba wawili hawa ni wasanii wakubwa na wenye mashabiki wengi kila mmoja katika nchi yake na nchi nyingine za jirani.
Watu wengi wameisifu hatua hiyo iliyochukuliwa na mlimbwende huyu wema sepetu kwani ni moja kati ya hatua madhubuti za kuitangaza nchi yetu katika ulimwengu wa filamu kama harakati zile zilizoanzwa kufanywa na The late Steven Kanumba.
Big up wema! keep it up as we are hoping for the best!
Saturday, December 6, 2014
KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI JUMAMOSI YA LEO.
Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.
Saturday, November 22, 2014
NI KWELI WEMA NA DIAMOND WAMEACHANA? SOMA HAPA:
Wakati akiachia ngoma yake mpya
‘Ntampata Wapi’, Diamond Platnumz
ameendelea kuteka vichwa vya habari
kuhusiana na tetesi kuwa wameachana
tena na mpenzi wake, Wema Sepetu.
Akiongea kwenye kipindi cha Leo
Tena cha Clouds FM leo, Diamond
alionekana kutokuwa tayari kuzungumza
ukweli wa jambo hilo licha ya
watangazaji wa kipindi hicho
kumbana.
“Kuna vitu fulani vinapokuja kuhusu
mapenzi sometimes inakuwa sio vizuri
kuvi.. kuna vingine vinafaa kwenda
kwenye media, vingine vinakuwa
havifai,” amesema.
“Kuna kitu unaniuliza nashindwa
kukiongea straight kwasababu
hakijafika wakati wa kwenda kwenye
media so kuzungumza inaweza
ikatengeneza maana mbaya. Vitu vingi
sana vinaandikwa, navisoma lakini
mimi na yeye ndio tunaujua ukweli uko
wapi. Ikifika muda wa kuweka wazi.
Subscribe to:
Posts (Atom)

